Kichangthang

Kichangthang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachangthang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kichangthang imehesabiwa kuwa watu 10,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichangthang iko katika kundi la Kibodish.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search